Jua Kali
160
Tamthilia
16
Main
Auntie Zozo– Jua Kali
Video
18 Machi
Naira akana kuwa na mimba kwa Frank, wakati Tunu aamua kumtembelea Felix kwa Thomas na Stella na aona Stella na Felix pamoja. Wakati Thomas afungiwa chumbani kwa Anitha wakati Frank alivyokuja. Hatimaye Anna kafika Ghana kwa Bobo.
Stream on Showmax
Up Next
Pipi yupo tayari kuongea - Danga
17 Machi
Je Naira ana mimba? – Jua Kali
11 Machi
Doris mnyonya damu!– Huba
11 Machi
"Wivu utakuua" – Danga
09 Machi
Naomba msamaha! – La Familia
05 Machi
Mary ataka kuua! – Jua Kali
04 Machi
Maudhui Yanayohusiana
Video
Msiba wa Bibi – Jua Kali
Semina afokewa na kufukuzwa juu yakutolalala nyumbani. Auntie Zai adai kujifungia ndani na Naira wakati wa msiba. Frank Lupo tayari kupoteza mtu yoyote juu ya Maria.
Video
Tonny amtaka Maria – Jua Kali
Tonny akutana na Maria na aishia kupa lamba yaka ya simu. Auntie Zai amuonya mfanya kazi mpya wa nyumbani kwa Mzee Bill. Mzee Bill aamua kuwa wazi na wake wawili.
Video
Thomas aja kwa Maria na ushahidi – Jua Kali
Frank apiga sim akiomba msahada, wakati Thomas aja kwa Maria na ushahidi kuhusu Anita.
Video
Femi adai mapumziko ndani ya ndoa yake na Luka– Jua Kali
Femi aenda kumlalamikia Mama Lukas na aamua kumuacha Lukas. Michael amfuata Lukas kazini kudai ukweli kuhusu yeye na mke wake.