Logo
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Mary ataka kuua! – Jua Kali

Video
04 Machi

Wakina kijiji wanamtafuta Tizo wakidai kwamba alimpiga mama Eva. Thomas ataka kumpiga Felix baada ya Felix kuleta chakula nyumbani, Mary amyunga Anitha hosptalini. Sophia amwambia kaka yake mapitio anayopata mitaani wakati Luka afika kanisani wakiwa wanamuombea Maria.