Ritha amefanya kitu cha kutisha!
Baada ya kumchoma Tima sindano ya uchizi, mambo yanabadilika ghafla
Tima anaonekana kupoteza fahamu na akili zikichanganyikiwa kabisa
Je, Ritha anajua alichokianzisha au huu ndio mwanzo wa maafa mapya?
—
Endelea kutazama DStv chaneli 160
Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home
Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz
Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo
Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo
TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo
Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ