Baada ya mwaka mmoja wa mateso, Balui hatimaye anakubali kutoka out,
Lakini uamuzi huu unazua hasira kubwa kwa familia yake!
Wakati huo huo, Bilo anarudi nyumbani baada ya kupata nafuu — lakini anavunjika moyo kumkuta mdogo wake Kombo akiwa amekata tamaa na kipaji chake cha uchoraji