Nicole anaingiwa na hofu kubwa baada ya kugundua kilichojificha nyuma ya kibibi – anamhitaji Abby kumsaidia kukabiliana naye.
Wakati huohuo, Nelly anaanza kuvutiwa na Ray… lakini mambo yanachukua mkondo wa kutisha pale Ray anapomtaka Abby kimabavu, huku simu ya Nicole ikipiga bila majibu.
Je, Abby ataweza kusimama imara?
—
Endelea kutazama DStv chaneli 160
Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home
Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz
Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo
Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo
TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo
Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ