Tamthilia hii inahusu mapenzi, pesa, tamaa na uchawi. Dunia mbili tofauti zinapokutana moja kudhibitiwa na fedha na nyengine ikifunikwa na uchoyo, mapenzi yanatoa matumaini ya kuishi.
S14 | E198
22 Juni 21:00
'S14/E198'. Simulizi linalotawaliwa na tamaa ya pesa, visasi na uchawi, ulimwengu mbili zikikutana, mapenzi pekee ndio h...