Mizani Ya Ushambenga
160
Uhalisia
PG13
Main
Video
Habari
muhula
21
20
17
16
14
13
12
Video za Mizani
Vita ya Tajiri na JB - Huba
Namtaka mwanangu - Upepo
Video
Rushwa ya ngono - Jacobs Daughters
Tulimpeleka Candy hospital ndo maana amechelewa kwenye interview, au ulitaka akupe rushwa ya ngono kama huyo. Usijali sisi tunaweza kukupa dabo dabo.
Video
Umesahau huyu mtoto ni wa kwako - Juakali
Kumbe mimba ya sofia ni ya Peter, Sofia amfata na kumtaka waishi pamoja na afanye majukumu yake ya kulea mimba
Video
Kikulacho Kinguoni Mwako
Mishy na Merry kwenye mgomvi mzito, Mishy anadhamanj anatembea na mume wake
Video
Mwambie akuonyeshe nani baba ako - Jivu
Fahad amwambie Mudrick amuonyeshe baba yake ni nani, Mzee habib na sada kulikoni tena jamani?
Video
Hati ya machimbo yavua mzozo - Jivu
Munir agundua kuwa hati ya machimbo inajina ya Said Makweta, hii ina maana gani kwa familia ya Mzee Habib?
Video
Claud yuko wapi - Huba
Claud hajulikani alipo, vichwa watu vinawauma na wako kwenye maumivu makali, huku nako Chidy na Roy wanajipanga namna ya kukabiliana na Ritha.
Video
Fumanizi la mwaka! – Jacobs Daughters
Hayazungumziki kirahisi! :joy: tarehe 28 saa 4 usiku tutakuwa na majibu usikae mbali na kininga chako.
Video
Hata ndoa ya mkeka hakuna – Jacobs Daughters
Binti kaamua ateme nyongo! Usikose show pambe ndani ya Maisha Magic Bongo.
Video
Siri yenye siri – Jacobs Daughters
Mambo ya weekend yamenoga! Usikose Jacob’s Daughters Jumamosi hii.
Yajayo
Leo
Alhamisi
Leo
Kesho
Jumatatu