Logo

Sherehe Arubainini — Nyanya Rukia

Video
21 May

Baada ya Zainabu kujifungua anawalika majirani wake kwake ili kusherekea siku ya arubaini za kutoa mtoto nje na haikosi vituko na mikasa.