Gloria ampigiba simu Fred makati akiwa na Chamsia. Wakati Mdoe amfokea Gloria juu ya kutokuwa nyumbani na amwambia amuue. Mariam amwitia polisi Edu akiwa na Regina. Eliza aishia kumpiga Mdoe na Chamsia afika kumuona Gloria.
—
Endelea kutazama DStv chaneli 160
Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home
Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz
Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo
Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo
TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo
Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ