Moto wazidi kuwaka kijijini, baada ya wanakijiji kuğunda kwamba mama Suzi alikua akimfungia mtoto wake ndani. Sophia akataa kuongea na Kitundu na waishia kupigana. Luka arudi kanisani na make wake kutoa sadaka mbele ya Maria.
—
Endelea kutazama DStv chaneli 160
Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home
Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz
Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo
Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo
TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo
Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ