Kawia Amsababishia Ajali Mudrick – JIVUKawia anamtembelea Mzee Habibu bila kujua anakaribia kufichuliwa!
 Fahad, Razia na mtoto wao Mudrick wanaingia ghafla — na muda mfupi baadaye, ajali inatokea!
 Mudrick anakimbia kwa hofu, bila kujua ukweli mkubwa uliofichwa kuhusu asili yake
 Je, ajali hii itafunua siri ya familia au kuzidisha majivu ya chuki?