Siri zimeanza kufichuka! , Frank anamfungulia Profesa ukweli kuhusu uhusiano wa Anna na Davis, jambo linaloweza kubadilisha kila kitu ndani ya nyumba yao. Mvutano na hisia zinazokinzana zinazidi kupamba moto, huku kila uamuzi ukionekana kuleta athari zisizotarajiwa. Je, Profesa atachukua hatua ipi? Au habari hii italeta migogoro mipya? Tazama HL ya Juakali S8 Ep 179–181 kushuhudia kila tukio lenye shauku na msukumo.