Profesa Bili anatumia NGO kuficha uovu wake, akimtumia Thomas, kijana wa dini na mpendwa wa jamii. Ukweli ukifichuka, Thomas analipiza kisasi kupitia familia ya Profesa. Mapenzi, pesa na uchoyo vyazua moto mkubwa chini ya jua kali!
S8 | E112
08 Oktoba 21:30
'S8/E112'. Thomas afichua kwa Enzo kwamba alishawahi kuwa na mahusiano na Regina, Professa anagundua hana muda mrefu wa ...