channel logo dark
channel logo dark

Wa Milele

160Reality16

Wanandoa Waendelea Kufundwa – Wa Milele

Video30 Decemba

Wanandoa wameendelea na mafunzo ya mapenzi na maisha ya pamoja . Kila fundisho lina changamoto zake, huku wakiwa wanajaribu kuelewa kila mmoja na kuvuka vizingiti vya uhusiano. Upepo unaendelea kutufundisha kuwa mapenzi na uhusiano ni safari ya kujifunza — kila hatua, mafundisho mapya yanatokea, na kila kipimo kina maana yake…