Kibibi ahojiwa na mapolisi – HubaDevi apata kesi baada ya kujaribu kujiua na Tima anawasiwasi kwamba nia yake ilikuwa kukutana na Jude. Doris amuonya oy kuachana na Devi wakati Yakub bado hapatikani. Tesa aanza kupata wasiwasi na JB na mapolisi wamfuata Kibibi.