channel logo dark
JNM small new
channel logo dark

Jikoni Na Marion

160Cooking ShowsPG13

Nesia na Emmanuel- harusi yetu

Video15 Agosti

#HarusiYetuTZ , Nesia na Emmanuel Wanasimulia changamoto walizozipitia kwenye safari yao ya ndoa, ambapo walikutana kazini! Nesia alihisi huzuni kidogo alipogundua kuwa Emmanuel pia ana familia. Ila hakukata tamaa , Je alimpigania vipi Emmanuel? usikose #HARUSIYETU kila Alhamisi saa 1 usiku kupitia DStv 160