channel logo dark
channel logo dark

Mizani Ya Ushambenga

160Uhalisia13

Mahusian kwnete ndoa- Mizani Ya Ushambenga

Video14 Agosti

#Mizani Bi Mariam akiwa bega kwa bega na Dr Kumbuka, wanatupa mzani wa mada mbali mbali zinazotugusa kwa upande mmoja au mwingine. Je , mwanamme anapojitoa kwa familia yake,ni sawa mke kumea pembe? Na kwa mwanamme inafaa awe wazi kwa mke? #MIZANIYAUSHAMBENGA kila Jumatano saa 1 Usikukupitia DStv160 pekee!