Jua Kali
160
Tamthilia
16
Main
Video
Habari
Michael ana shida! – Jua Kali
Video
26 Juni
Michael agombana na Vivian akidai kwamba Vivian alitaka kuharibu ndoa yake, pia arudi kugombana na mke wake. Suzy awaonya wenzake akiwa anaondoka. Edu amtafutia kaka yake Sophia pasipoti na Anna akutana na Thomas
Stream on Showmax
Up Next
Kibibi ataka kurudiana na Devi – Huba
17 Juni
Nani kaiba simu? – Kitimtim
16 Juni
Tuombe! – Jua Kali
12 Juni
Kumsaliti Kibibi ni sawa na kujijengea kabuli! – Huba
03 Juni
Nani kaiba mtoto? – Pazia
01 Juni
Hiyo mimba ni ya nani? – Jua Kali
29 Mei
Maudhui Yanayohusiana
Video
Wiki hii- Jua Kali
Matukio ya wiki hii ndani ya Jua Kali.
Video
Femi apata matibabu – Jua Kali
Vivian amwambia Maria amuhurumie Thomas wakati Femi na Lukas wanenda kupata matibabu.
Video
Maria atoa maonyo - Jua Kali
Auntie Zai ataka Naira amsaidia kuchafua nyumba ya Prof na Maria amuonya mtumishi mwingine. Hatimaye Felix aja kuomba radhi.
Video
“Kaa tulia, relax, angalia hit sinema”– Jua Kali
Thomas amwambia Vivian kwamba ana mpango wa kulipiza kisasi kwa Maria wakati familia ya Diba ya furahia utambulisho.