Jua Kali
160
Tamthilia
16
Main
Maria atambulishwa kwa baba mkwe – Jua Kali
Video
02 Aprili
Anita aendelea kumuuguza mama yake wakati Kenzo na Vivian wagombana baada ya Kenzo kumuomba pesa Vivian. Michael arudi nyumbani kwa mama yake. Hatimaye Felix amtambulisha Maria kwa Thomas.
Stream on Showmax
Up Next
Jemo afuatilia maagizo ya Dr Love – Pazia
24 Machi
Brenda anashida na pesa – Pazia
17 Machi
Mwanakondo Maria afumwa na mshiriki mwenzake – Jua Kali
12 Machi
Ujauzito wa miezi miwili? – Pazia
10 Machi
Stella afanya uamuzi – Jua Kali
05 Machi
Naira apigwa vibaya – Jua Kali
26 Februari
Maudhui Yanayohusiana
Video
Naira akataa kujistiri - Jua Kali
Thomas aongea jinsi alivyokuwa bado anampenda Maria kwa Sarah. Sarah atukutana na wafanya kazi wengise na Naira akataa kujistiri.
Video
Felix ampiga Maria – Jua Kali
Felix ampiga Mariz na Frank aja kumuokoa. Wiki ya Harusi ya Anna yaanza nyumbani kwa Diba.
Video
“Kaa tulia, relax, angalia hit sinema”– Jua Kali
Thomas amwambia Vivian kwamba ana mpango wa kulipiza kisasi kwa Maria wakati familia ya Diba ya furahia utambulisho.
Video
“Wewe ni baba wa King” – Jua Kali
Michael agundua kwamba mtoto ni wa kwake na Thomas amwambia Maria avunje mahusiano yake na Frank.