Jua Kali
160
Tamthilia
16
Main
Video
Habari
Maria ampa Frank alichokuwa anakitaka– Jua Kali
Video
22 Juni
Tima apata wageni kijijini, Maria ampa Frank kile alichokuwa anakitaka. Thomas naye amuudhi Maria na pia uswazi kuna harusi. Hali ya bibi yazidi kuwa baya.
Stream on Showmax
Up Next
Dili limechafuka – Kitimtim
22 Juni
Edu ampigania mke wake– Pazia S6
22 Juni
Huu ni uchizi gani wa mapenzi? – Mwali
18 Juni
Bi Sikitu na Doris waingia kwenye maombi –Huba
16 Juni
Tatizo ni mtoto– Mpali
15 Juni
“Pokea hiyo simu”– Jua Kali
15 Juni
Maudhui Yanayohusiana
Video
Maria atoa maonyo - Jua Kali
Auntie Zai ataka Naira amsaidia kuchafua nyumba ya Prof na Maria amuonya mtumishi mwingine. Hatimaye Felix aja kuomba radhi.
Video
Femi apata matibabu – Jua Kali
Vivian amwambia Maria amuhurumie Thomas wakati Femi na Lukas wanenda kupata matibabu.
Video
Felix ampiga Maria – Jua Kali
Felix ampiga Mariz na Frank aja kumuokoa. Wiki ya Harusi ya Anna yaanza nyumbani kwa Diba.
Video
Thomas aitisha mkutano na Frank na Maria – Jua Kali
Thomas aitisha kikao na Frank na Maria na Lukas amkuta Femi amezimia.