Rebeca
160
Drama
6
Main
Video
Habari
Bakoli katupwa inje - Rebeca
Video
03 Oktoba
Wiki hii kwenye Rebeca, Nice ameamua kugeukia watalaam Daniel arudi, Kenzo ana achwa na Linda, Bakoli na ubishi wake wote katupwa nje ya nyumba, Caren na shemeji yake wanapanga nini?
Jisajili kuangalia
Up Next
Joyce hajifahamu- Kapuni
29 Septemba
Huba la Tesa- Huba
27 Septemba
Sakina na Bafoli-Rebeca
26 Septemba
Vurugu kwenye Mazishi-Kapuni
22 Septemba
Daniel kahonga gari la mke-Rebeca
18 Septemba
Ujio wa Devy/Idris- Huba
13 Septemba
Maudhui Yanayohusiana
Video
Angel, nini kinaendelea? – Danga
Angel ataka mafigo ya Robi kabla hayajafika kwa Mr Chacha. Wakati Pipi ana mtu mpya kwenye maisha yake.
Video
Kontwana arudi kwenye shule yake ya msingi – Divas & Hustlas
Kontawa arudi kwenye shule yake ya Armani kuwatia moyo wanafunzi wakati mtoto wa Reyjones anahitaji miwani.
Video
Femi apata mgeni – Jua Kali
Linda amwambia Duke kama Bobo bado anampenda Anna. Toby ampiga dada take baada ya Sophia kugomba kumuoa Iddy. Zai amwambia Bill amuheshimu kama mama yake na Bill aishia kumpiga na hatimaye Stela arudi. Na Femi opata mgeni.
Video
Mabaya ya tokea Afrika Kusini– Jua Kali
Kitundu aamua kuzamia Afrika Kusini na afanikiwa kupata kazi. Wakati Anna ijikuta mikononi kwa Bobo tena, wakati Dima anamtafuta. Baada ya kujikuta kwenye babaya, Kitundu adai passport yake ili arudi nyumbani. Anna alazimishwa kuchagua kati ya Diba na Bobo.