Logo
Small billboard rebeca
channel logo dark

Rebeca

160Drama6

Samabaza jina

Kambona agundua kuhusu Caren – Rebeca

00:03:12
Kambona kajipata kwa matatizo je ataponea? Wakati mapenzi ya Caren yananawiri Kambona anagundua ukweli wa kazi zake, naye Sakina anazidi kulazimisha Penzi kwa Daniel Je ni nini kitaendelea #REBECA kila Jumatatu-Jumatano saa 1:30 Usikose marudio kila jumapili saa 10!.
Kambona agundua kuhusu Caren – Rebeca Image : 936

Video zote

Mwanzo mpya- Rebeca Image : 1086
Bakoli amtimua Caren – Rebeca Image : 1083
Bakoli amtimua Caren – RebecaBaada ya harusi Sakina anatoroka, Bakoli amtimua Caren, Kenzo apokea habari kutoka hospitalini.
Sakina anaolewa – Rebeca Image : 1079
Sakina anaolewa – RebecaWiki hii kwenye #Rebeca Mwali ndio huyo tena kashaolewa, Kenzo kwisha habari yake engineer akiwa Lulu na Shemson, je kaka Shemson akigundua Sakina kaolewa atafanya nini?
Kumbukumbu za Albert zinarudi – Rebeca Image : 1075
Kumbukumbu za Albert zinarudi – RebecaWiki hii kwenye #Rebeca Daktari bado anakomeshwa na Bakoili, kumbukumbu za Albert zinaanza kuja taratibu, Caren mawazo yanazindi , Grayson nae usaliti unamuweka pabaya ….je ni nii kitaendela? Tazama Higlights hapa
Daniel kafanywa bwege – Rebeca Image : 1070
Daniel kafanywa bwege – RebecaBaada ya yale makasheshe ya wiki iliyopita, Sakina anazidi kudanganya huku nia yake haswa ikiwa haieleweki ni nini, Ussy bado anatapaa. Wazazi wa Daniel wanabaki mdomo wazi baada ya kukuta mwanao kafanywa bwege. Simanzi linatawala nyumbani kwa kina Daniel, Albert katoka hosipitali na fahamu bado hazijarudi, je Caren atavumilia haya mbaka lini?
Ussy apata Kichapo-Rebeca Image : 1066
Ussy apata Kichapo-RebecaWiki hii kwenye #REBECAtz Toshi anaombwa msaada amsaidie mpenzi wake Ussy, Albert anapata nafuu sakina nae anaitwa kuja kumfumania shemson.
Ugomvi na Kasheshe- Rebeca Image : 1062
Ugomvi na Kasheshe- Rebecaatika #REBECA , Peti na mama yake wanamtimua mkewe, Kambona akitafuta Ushahidi wa kumuokoa Rebeca, inamlazimu azungumze na wakubwa wa kitaa, je hatma ya ugomvi wa Peti na Bakoli utakua nini?Mimba ya Michele inazua balaa, Kambona ahofiwa kummaliza Daniel, Grayson anaendela kupeleleza yaliomkuta Albert, je hizi kasheshe za Peti zitaisha lini
Nani atamukoa Rebeca – Rebeca Image : 1057
Nani atamukoa Rebeca – Rebecawenye Rebeca, Usaliti wa Grayson na Daniel unawafikisha pabaya,Kambona tafuta msaadakw rafiki, je nani atamuokoa Rebeca ?usikose drama , kasheshe, vituko vya kipekee katika #REBECATZ kila Jumatatu -Jumatano saa 1:30 Usiku kupitia DStv160!
Mseke mseke kwenye – Rebeca Image : 1044
Mseke mseke kwenye – RebecaWiki hii kwenye #REBECATZ ni Mseke mseke usioo wa nchi hii, wakati Daniel bado anatapatapa , Rebeca amtoroka Grayson, atafanya nini? Kambona naye amerudi kwa fujo na ukali, Je Zachy ataponea ?Ussy anapokea kipondo cha mwendo afya ya Linda nayo kizungumkuti,
Rebeca ajipata matani – Rebeca Image : 1041
Rebeca ajipata matani – RebecaWiki hii kwenye #REBECATZ Baada ya lile varangati , Albert analazwa, rafiki zake tumbo joto, Rebeca nae hali sii hali, Rebeca hakuna anayemwamini amekuwa mkimbizi Je ni nini kitaendela?
Kasheshe na haya- Rebeca Image : 1037
Kasheshe na haya- RebecaBakoli kaingiwa na wehu, Nice mumewe karudi kumchukua,Daniel kaondoka nyumbani, Rebeca anachangayikiwa , Caren ushemeji umemshinda , kasheshe kama zote haya yote ni katika Je ni nini kitaendela na Daniel?
Bakoli katupwa inje - Rebeca Image : 1035
Bakoli katupwa inje - RebecaWiki hii kwenye Rebeca, Nice ameamua kugeukia watalaam Daniel arudi, Kenzo ana achwa na Linda, Bakoli na ubishi wake wote katupwa nje ya nyumba, Caren na shemeji yake wanapanga nini?
Sakina na Bafoli-Rebeca Image : 1031
Sakina na Bafoli-RebecaWiki hii Kwenye #RBECATZ mambo yanapamba moto, Sakina na Bakoli wafumaniwa kwenye hoteli. Lulu haeleweki, anaua bibi. Daniel naye azindi kumficha Rebeca ukweli !usikose #REBECATZ Jumatatu hadi Jumatatu saa 1:30 Usiku.Usikose!
Daniel kahonga gari la mke-Rebeca Image : 1027
Daniel kahonga gari la mke-RebecaWikii hii kwenye #REBECATZ Ma Baharia wetu ni hawa, Daniel kahonga gari la mke wake na waume wenza Deo na Albert wanapatana tena uso kwa uso #REBECATZ inazidi kupamba moto usikose kila Jumatatu-Jumatano saa 1:30 Usiku kupitia DStv160 pekee!
Lisa Anashikwa - Rebeca Image : 1023
Lisa Anashikwa - Rebeca#REBECATZ , Lisa ameshikwa . Je Daniel atachagua upande wa nani? Usikose #REBECATZ kila Jumatatu hadi Jutano saa 1:30 Usiku kupitia DStv160 pekee!
Mapenzi na utamu wa ndoa- Rebeca Image : 1019
Mapenzi na utamu wa ndoa- RebecaWiki hii kwenye #REBECATZ Linda amkaribisha Kenzo kwake, Je mahusiano ya hawa wawili yatafika wapii? Lisa asiye shindwa kasema Daniel lazima awe wake matusi yanazidishwa kwa Rebeca, Caren anajariu kumshauri Doris kuhusu mapenzi na utamu wa ndoa je Doris atabadili msimamo? usikose #REBECATZ Jumatatu hadi Jumanne saa 1:30 Usiku kupitia DStv160 pekee!
Kuna pamba moto - Rebeca Image : 1014
Kuna pamba moto - RebecaWikii hii Kwenye #Rebeca, Samson amtafuta Sakina, Je sakina atarudiana na mume wake, naye Drama qeen Lulu anazidi kupamba moto, Kama ulikosa hujachelewa, ? Mahaba mahabani kwenye#REBECA kila jumatatu-Jumatano saa 1;30 usiku usikose
Harusi ya Caren – Rebeca Image : 1009
Harusi ya Caren – RebecaWikii hii Kwenye #Rebeca, bibi harusi anameremeta, lakini bwana harusi ataishia kuwa nani? Je ni Deo au Albert?. Lulu na Kenzo nao shughuli shughulini! Baada ya Albert kuchomoa betri na yaliomkuta Deo ni nini kitafuata? Sakina nae? #Rebeca, kila Jumatatu-Jumatano saa 1;30 Usiku na usikose marudio kila Jumapili saa 10.
Mambo yanazidi kupamba moto- Rebeca Image : 1004
Mambo yanazidi kupamba moto- RebecaWiki hii kwenye #REBECA mambo ni yanzazidi kupamba moto, wale waliochomoa mabetri wazima? Aliemteka Sakina na Daniel ni nani? Caren nae amekubali kufunga ndoa je watafanikiwa? Vita baina ya Harrison na Kenzo!! Huba linawazuzua #REBECA ni kila Jumatatu-Jumatano saa 1:30 Usikose marudio kila Jumapili saa 10.
Sakina na Daniel- Rebecai Image : 999
Sakina na Daniel- RebecaiAnakoleleka Sakina sio kabisa, je ugekuwa #REBECA ungefanya nini? Karen anayo harusi?
Upelelzi wa Caren- Rebeca Image : 976
Upelelzi wa Caren- RebecaWakati mapenzi yawengine yanafikia kikomo Juhudi za kumdangisha Samson zinagonga mwamba akili yake bado ipo kw Sakina , je mamuzi ya Daniel kuhama kwenye nyumba ya Kambona ni sawa? upelelezi wa kina Carem umefikia wapi? Usikose kila jumatatu-Jumatano saa 1;30 Usiku!
Majozi ya furaha – Rebeca Image : 938
Majozi ya furaha – Rebeca#Rebeca wiki mambo yamechacha. Lulu kamvua nguo Mike mbele ya marafiki wake, Sakina ameamua kutafuta suluhu la ex wake Mzee kambona anazidi kutereza, kwenye msiba wa Rebeca majozi yageuka kuwa furaha, ambapo Rebeca anatokea/anafufuka. Je Maisha itakuwa vipi sasa? #REBECA kila Jumatatu-Jumatano saa 1:30 Usikose marudio kila jumapili saa 10
Kambona agundua kuhusu Caren – Rebeca Image : 936
Kambona agundua kuhusu Caren – RebecaKambona kajipata kwa matatizo je ataponea? Wakati mapenzi ya Caren yananawiri Kambona anagundua ukweli wa kazi zake, naye Sakina anazidi kulazimisha Penzi kwa Daniel Je ni nini kitaendelea #REBECA kila Jumatatu-Jumatano saa 1:30 Usikose marudio kila jumapili saa 10!.
Pilika pilika ndani ya Rebeca – Rebeca Image : 933
Pilika pilika ndani ya Rebeca – RebecaWikii hii kwenye #Rebeca mambo yalikuwa mazito, Caren atakubali kuolewa na Albert? Sakina na Daniel ni vipi? Sakina kafungua roho yake kwa Daniel. Rebeca kazimia ama amekufa? maswali chungu nzima kwenye #REBECA kila Jumatatu-Jumatano saa 1:30 Usikose marudio kila jumapili saa 10
Mwanzo mpya- Rebeca

Tamthilia simulizi za kitanzania

Titel