channel logo dark
channel logo dark

Wa Milele

160Reality16

Hakuna Wanawake Wanaosafisha Miguu? – Milele

Video17 Decemba

Ivy kuuliza swali linaloacha wengi midomo wazi :flushed:. “Hamna wanawake wanaosafisha miguu na kucha?” Sababu iko wazi — mume wake hapendi kabisa kuona mwanaume akimgusa au kumsafisha miguu . Swali hili linafungua mjadala mzito kuhusu wivu, mipaka kwenye ndoa na uhuru wa mwanamke.