Sarafu
160
Drama
PG13
Main
video
Damian anapambana – Sarafu
Video
15 Januari
Njoroge hatimaye wamefanikiwa kuingia katika hemaya ya Madam Sandra, Damian anapambana na Tito kujua yalio mkuta babake, anayopangiwa na kunenewa Mzee Sanga ni balaa.
Jisajili kuangalia
Up Next
Damian ameachiliwa- Sarafu
09 Januari
Kichwa ama mkia – Sarafu
03 Januari
Tima katimua kila mtu – Huba
27 Decemba
Jordan uso kwa uso na Paul – Kapuni
22 Decemba
Idris/Devy ameitwa baba – Huba
20 Decemba
Sakina anaolewa – Rebeca
18 Decemba
Maudhui Yanayohusiana
Video
Dr Temba apata ajali l– Jua Kali
Thomas na Stella watoka kanisani na Stella anataka kujua ni kwanini Maria alikataa kuvishwa pete. Sophia na kaka yake wamlazimisha mama yao kwenda hospitali. Hatimaye harusi ya Anna yafika na Dr Temba apata ajali. Michael na Mary wapata habari njema.
Video
“Ni nini kinamsumbua?“- Huba
Jude na Bi Sikitu wat aka kujua ni nini kinamsumbua Doris. Chidik abaki kumuangaliv Mzee Kashaulo.
Video
Jemo hana pesa – Pazia
Gloria ajuta kujua kwamba Henry ni baba yake. Regina bado anakaa na Jemo na sasa mambo ya badirika kwa sababu Jemo hana pesa.
Video
Simu iko wapi?– Huba
Nandy aenda kwa Roy juu ya mawazo ya Doris, wakati Tima aenda kuomba biashara ya Jude ifunguliwe. Simu ya Devi ya potea na Fabrizo amfuata Nelly kujua iko wapi. Hatimaye, Kibibi aja kwa Tesa juu ya pesa yake