Wanawake bingwa ndani ya Maisha Magic BongoLeo ni Siku ya Wanawake Duniani, na Maisha Magic Bongo imeweka mipango maalum ya kuadhimisha siku hii. Katika siku hii ya maalum, tunatambua mchango muhimu wa wanawake katika jamii na kusisitiza haja ya kuendelea kujitokeza kwa kila fursa.