Logo

Unakubali kwamba nyimbo hizi zilivuma sana mwaka huu? – #MazuriYa2022

Habari
29 Decemba 2022
Watazamaji wa Maisha Magic Bongo watuambia ni nyimbo gani zilivuma mwaka huu, je unakubali nao?
Screenshot 2022 12 29 at 15

Mwaka wa 2022 ulijaa ngoma nyingi sana za Bongo Flava zilizo vuma. Tuliwauliza watazamaji wa vipindi vya #MMBKumiZaWiki na #MMBBass kutuamia ni nyimbo gani walizipenda mno mwaka huu. Hapo chini ni orodha ya baadhi za nyimbo walizochagua. Jibu maswali yanayo ambatana na kila nyimbo kutuambia kama unakubali nao:

  1. Naogopa – Mario na Harmonize @ua_bei
  1. Beer Tamu – Mario @mathiusjacob
  1. Utu – Ali Kiba @neylciousnay
  1. Puuh – Billnass na Jay Melody @its_naigirl
  1. Nakupenda – Jay Melody @momtreyson

Kumbuka kuanza mwaka wako ukisherekea na nyimbo kali sana ndani ya vipindi vya #MMBBass kila Jumatatu hadi Alhamisi saa 11 jioni na pia jiunge na #MMBKumiZaWiki kila Ijumaa saa 11 jioni ndani ya DStv chaneli 160! Tunapenda kuwatakila mwaka mpya mwema uliojaa furaha!