Logo
Wana wa Town

Funua Siri Zote Wana wa Town – Maisha Magic Bongo

Habari
28 Januari 2024
Usikose mwanzo wa #MMBWanaWaTown Jumapili, tarehe 4 Februari ndani ya #MaishaMagicBongo.
Wana wa Town

Pesa na umaarufu huleta nguvu na vitu vyote ambavyo mtu anatamani. WANA WA TOWN inachunguza maisha ya mabachela wanaostahiki zaidi Tanzania, waungwana wanaopewa heshima na kupendwa na vijana wote wa Bongo. Washiriki ndani ya kipindi hiki ni Calisah, Whozu, Country Boy, Brown na Fred Ngajiro.

Onyesho hilo litafichua maisha yao ya siri kutoka kwa mihangaiko yao ya kila siku hadi maisha yao magumu ya mapenzi na vilevile maisha yao ya usiku ya kifahari.

Maisha ya wanaume hawa yamechanganyika na mabishano huwafuata popote waendako na watazamaji wetu wanakuwa nzi ukutani wakishuhudia maisha yao ya kila siku ya ajabu.

Usikose mwanzo wa #MMBWanaWaTown tarehe 4 Februari saa 4 usiku ndani ya #MaishaMagicBongo.

Wana wa Town
Mwanzo wa Wana wa Town - Maisha Magic Bongo

Je utaangalia mwanzo wa #MMBWanaWaTown? Tuambie hapa

Ndiyo51%
Hapana49%