Slay Queen
160
Drama
16 V
Main
Derrick atekwa! – Slay Queen
Video
16 Oktoba
Alice ametoka kumpiga bibi harusi. Derrick ametekwa kwa bahati mbaya wakati Mami aamka baada ya usiku mbaya sana.
Jisajili kuangalia
Up Next
Godfrey amwambia Nandy kama hamtaki tena – Karma
14 Oktoba
Shani rudi nyumbani – Nyavu
09 Oktoba
Mtoto wa nyoka ni nyoka – Karma
08 Oktoba
Nana yuko ndani ya geti kali – Slay Queen
02 Oktoba
Lorenzo akasirisha watu wengi – Karma
01 Oktoba
Jude na Devi wakutana mahakamani – Huba
25 Septemba
Maudhui Yanayohusiana
Video
Bidu atekwa! – Pazia
Tunu agenda kwamba Sadiq alikua akitumia uchawi ili ampoteze mume wake. Jemo açai mtoto kwa Waridi na Waridi amwambia aende kwa Regina kwa sabbat hana kizazi. Bidu bado ametekwa na awapa laana waliomteka.
Video
"Wivu utakuua" – Danga
Pipi ana huzuni pamoja na Mo wakidhani kwamba Angel amewaibia. Mchumba wake na Pipi agombana na Mo wakati Pipi atekwa.
Video
Angel atekwa – Danga
Pipi ampigia simu Mark kujua habari za Bariani harafu agundua kwamba Bariani amefariki. Harafu Mo na Pipi bado wanamtafuta Angel. Angel aombwa billioni tatu juu ya deni lake.
Video
Safari ya Zanzibar – Pazia
Maya atekwa, marafiki wa Brenda wafanya mpango wa kwenda Zanzibar bila Regina na Brenda haonekani. Pia inspector awalazimisha Fred na Jemo kwenda Zanzibar na Eliza apata presha.