Gloria aanzisha matatizo mapya! – PaziaGloria ampigiba simu Fred makati akiwa na Chamsia. Wakati Mdoe amfokea Gloria juu ya kutokuwa nyumbani na amwambia amuue. Mariam amwitia polisi Edu akiwa na Regina. Eliza aishia kumpiga Mdoe na Chamsia afika kumuona Gloria.