Slay Queen
160
Drama
16
Main
Juliet ni Meneja Mkuu wa kampuni ya Far Connect – Slay Queen
Video
19 Juni
Juliet ameshika usukani wa kampuni ya FAR CONNECT. Bwana Kasongo na Derrick wanakosa kusikilizani katika jambo hili. Mke wa Ben anamkuta na mambo ya uhusiano wake na Aniseta.
Jisajili kuangalia
Up Next
Wiki hii katika Huba!
18 Juni
Fifi amefukzwa kazi! – Nyavu
17 Juni
Posa halali, Boy Muddy na Mzee Kasongo – Slay Queen
12 Juni
Tesa na Pedro: Mimba ya Tima ni ya nani? – Huba
12 Juni
Chidi na Happy, Ruki na Jude, Tima na Devi – Huba
05 Juni
Mimba ya siri na changamoto za Far Connect! – Slay Queen
03 Juni
Maudhui Yanayohusiana
Video
Regina aokoa kampuni – Pazia S6 Ep22-24
Edu ataka kutoka kwa mashetani lakini Regina bado adai pesa. Bidu aja mudai pesa zake kwa Mdudu akifikiria ni Henry. Tunu amshawishi Mdoe.
Video
Tusubiri sherehe – Mpali
Ngozo aitisha montano na wake wake wote. Mkuu wa ulinzi amuonya Nguzo kuhusu mwizi.
Video
Kwani ni video gani? – Mpali
Ngozo agombana na mke wake mkubwa wakati Supine amuonyesha mwanae video ilitoka mtandaoni.
Video
“Three in one” – Pazia S6 Ep19-21
Eliza amwambia Lolita kuhusu mahusiano mengine ya Henry. Henry agenda kwamba nyumba yake iliuzwa. Chamsia asema kwamba Regina ndio mwizi wa pesa ya kampuni.