Slay Queen
160
Drama
16
Main
Dr Chris apatwa na dawa yake – Slay Queen
Video
07 Agosti
Dr Kileo afumwa na mama yake Julieth na wote wanaficha siri kubwa. Boy Muddy aendelea kumsumbua Merry. Mama yake Nana afikia hospitali kumuulizia Dr Chris.
Jisajili kuangalia
Up Next
Fifi arudi nyumbani – Nyavu
05 Agosti
Kijiji kimewaka moto – Huba
01 Agosti
Baraka mpya, na familia mpya – Slay Queen
31 Julai
Bwana Shaka anawa mikono kwa Ida – Nyavu
29 Julai
Tesa ndio bosi sasa – Huba
24 Julai
Ida anadai mwanae – Nyavu
24 Julai
Maudhui Yanayohusiana
Video
“Sijui biashara nyingine!” – Dosari
Queen amuomba mama yake abadirishe biashara anayofanya. Magodo ahongwa pesa.
Video
Wewe mtu gani, usiyekuwa na utu?” - Huba
Tima amlilia Sidi juu ya kuchoka na maisha yake, na Kashaulo akasirika baada ya kuulizia Tesa.
Video
Bi Sikitu atoa alana kwa Doris - Huba
Bi Sikitu ampa laana Doris, wakati Nelly aja kumuokoa dada yake.
Video
Anita amuomba msamaha Thomas – Jua Kali
Anita aomba msamaha kwa Thomas na Maria. Femi ajikuta kwa Dr Evans baada ya mahusiano yake na Lukas kuisha na Naira karudi.