Sarafu
160
Drama
PG13
Main
video
Damian anapambana – Sarafu
Video
15 Januari
Njoroge hatimaye wamefanikiwa kuingia katika hemaya ya Madam Sandra, Damian anapambana na Tito kujua yalio mkuta babake, anayopangiwa na kunenewa Mzee Sanga ni balaa.
Jisajili kuangalia
Up Next
Damian ameachiliwa- Sarafu
09 Januari
Kichwa ama mkia – Sarafu
03 Januari
Tima katimua kila mtu – Huba
27 Decemba
Jordan uso kwa uso na Paul – Kapuni
22 Decemba
Idris/Devy ameitwa baba – Huba
20 Decemba
Sakina anaolewa – Rebeca
18 Decemba
Maudhui Yanayohusiana
Video
“Ni nini kinamsumbua?“- Huba
Jude na Bi Sikitu wat aka kujua ni nini kinamsumbua Doris. Chidik abaki kumuangaliv Mzee Kashaulo.
Video
Simu iko wapi?– Huba
Nandy aenda kwa Roy juu ya mawazo ya Doris, wakati Tima aenda kuomba biashara ya Jude ifunguliwe. Simu ya Devi ya potea na Fabrizo amfuata Nelly kujua iko wapi. Hatimaye, Kibibi aja kwa Tesa juu ya pesa yake
Video
Baba Happy bado yupo kwa Nicole– Huba
Mzee wa Devi aenda kwa Tima na Jude na agundua kwamba Tima ameshaolewa. Tesa anataka kujua mahusiano ya Nicole na baba yake na Happy. Bi Sikitu aonya Roy na Doris kuhusu harusi yao na Happy ajakumtafuta baba yake.
Video
Mapenzi yananitesa! Nuru
Baada ya Alice kumuacha, John arudi kwa bibi yake na Doreen amwambia Adrian kwamba ana mimba yake na Mzee Andrew ataka kujua Ronald yupo wapi.