SandboxStickies
160
Action
PG
Main
News
Videos
Gallery
Polls
Social
#Profiles etc
Misc
Quiz
OP Profiles
Events
Zaidi Vipindi
Yote
Video
Utacheka hadi ulie - Watubaki
Dogo Sele nomaaa! Kama umewahi kukutana na hali kama hii utacheka hadi usahau stress zote.
Video
Mapishi motomoto, utayapenda! - Pika Pakua
Monlee ametuandalia menyu kabambe leo! Tazama hadi mwisho alafu tuambie umeondoka na madini gani?
Video
Mapishi motomoto, utayapenda! - Pika Pakua
Monlee ametuandalia menyu kabambe leo! Tazama hadi mwisho alafu tuambie umeondoka na madini gani?
Video
Aliyekuwa na kidani ndiye muuaji - Empini
Ukweli haujifichi milele! Kuna siri nzito nyuma ya mauaji ya baba yake Ndonga. Je, Ndonga atafanikiwa kupata kidani cha baba yake?
Video
Mbinu za kupika msosi mtamu! - Pika Pakua
Chief Monlee hajawahi kuwa na shoo mbovu kwenye kukaangiza madikodiko. Umejifunza maujuzi gani kwenye mapishi leo?
Video
Kikulacho kinguoni mwako! - Empini
Si kila adui anatoka mbali! Je, nani yuko nyuma ya kifo cha baba yake Ndoni?
Video
Bonga hakufa kawaida. - Empini
Kuna siri nzito nyuma ya kifo cha Bonga. Je, Ndoni ataweza kupambana kujua ukweli wa kifo cha baba yake?
Video
Inaumiza! Ndoni ashuhudia kifo baba yake - Empini
Ndoni ameshuhudia tukio ambalo hakupaswa kuliona. Je, nani aliyetoa amri ya kifo cha baba yake?
Video
Asiesikie la mkuu huvunjika guu - Huba
Mama poa, amkanya mwanae tima atulie na afate maelekezo anayopewa.
Video
Asiesikie la mkuu huvunjika guu - Huba
Mama poa, amkanya mwanae tima atulie na afate maelekezo anayopewa.
Video
Femi kabananishwa! – Jua Kali
Kweli Femi anafanya yote haya kukoleza penzi la Luca na Judith? Mambo ni paaambe, nyama ziko chini!
Video
Mke wa Kiza akimbizwa hospital - Upepo
Akiwa katikati ya mahojiano ya mtuhumiwa Kiza anapokea simu kuwa mke wake anaumwa na amekimbizwa hospital.
Video
Nani amekunywa pombe zangu - Huba
Tajiri akasirishwa na Mussa kuwapa kina JB pombe zake wanywe, kitendo kimempa hasira sana.
Video
Nguzo mikomoni mwa Kiza - Upepo
Upepo bado unaendelea kuvuma wakati upelelezi ukiendelea juu ya wapi alipo fiona, na Kiza sasa anamkamata Nguzo ili apate kumsaidia kwenye kesi.
Video
Umekuja ofisini kwangu kufanyaje? - Jacobs Daughter
Caroline akasirishwa na kitendo cha bwana wake kumfata kazini kumpongeza kwa kupandishwa cheo.
Video
Vita ya Tajiri na JB - Huba
Tajiri na JB watunishiana misuli kwenye meza ya chakula, unadhani nani ataibuka kidedea kwenye vita hii?
Onyesha Zaidi
16 of 1470