Rebecca
160
Drama
PG13
Main
Video
Habari
Wazazi wanawasili katika Rebecca! – Rebecca
Video
22 Mei
Baada ya ulimwengu wa Rebecca kupasukia katikati, anakimbia kumlaumu Peter, huku wazazi wakiwasili kujua yanayotendeka katika vyumba vya sherehe! Kama ulikosa vipindi vya wiki hii, pata highlights hapa!
Jisajili kuangalia
Up Next
Dora: "Koku, siku yako yaja" – Kapuni
22 Mei
Jeff anaona lakini mkewe hajui – Kapuni
22 Mei
Je, kwa nini Deo anatafuta Cleopatra? – Rebecca
22 Mei
Wanaotafuta Mawaidha katika Kapuni – Kapuni
22 Mei
Tima, kuwa na subra – Huba
22 Mei
Tesa, Zinzi, Dev na Roy! – HUBA
22 Mei
Maudhui Yanayohusiana
Video
Wazazi wa Yaz wataka aoe mke mpya – Chanda
Rukia a gundua kwamba Mishi ndiye aliye okoa Babaz na Shem. Wakatai wazazi wa Yaz wataka aoe mwanamke mwingine.
Video
‘Muulize kwa ustaarabu' – Huba
Huba likinyauka kwa Tima na Jude, mbolea ya kufa kuzikana ina nyunyuziwa katika bustani ya Nandy na Roy
Video
Mambo hayako sawa' – Mpali
Mhasibu anapoingia katika ndoa yako, pengine kumskiliza rafiki yako, si jambo la busara sana.
Video
Devi yupo katikati ya Kibibi na Tesa–Huba
Kibibi aamua kuwapa Tima na Jude kazi ndani ya hoteli yake. Devi ijikuta kati ya ugomvi wa Kibibi na Tesa na Nelly agundua kwamba wazazi wake wamerudiana. Fabrizio amkamata Monica mbele ya Kibibi.