Rebeca
160
Drama
PG13
Main
Video
Habari
Lisa Anashikwa - Rebeca
Video
11 Septemba
#REBECATZ , Lisa ameshikwa . Je Daniel atachagua upande wa nani? Usikose #REBECATZ kila Jumatatu hadi Jutano saa 1:30 Usiku kupitia DStv160 pekee!
Jisajili kuangalia
Up Next
Brown hapatikani-Kapuni
08 Septemba
Safari ya Mjini- Huba
06 Septemba
Mapenzi na utamu wa ndoa- Rebeca
04 Septemba
Brown hapatikani – Kapuni
03 Septemba
Ni kasheshe na Kila mtu huba zake- Huba
30 Agosti
Kuna pamba moto - Rebeca
28 Agosti
Maudhui Yanayohusiana
Video
Mwali itaanza 29 Oktoba ndani ya Maisha Magic Bongo!
Tamaduni zetu zitukuzwe na #Mwali wetu atatoka kimasomaso na heka heka kama hivi. Save the date Oktoba29 saa 3 usiku, katika kijiwe pekee cha burudani Tanzania.
Video
Msimu mpya wa Pazia
Usikose mwanzo wa msimu mpya, wa nne wa Pazia, Jumatatu, tarehe 4 April ndani ya Maisha Magic Bongo!
Video
Said anataka mwanamke mcha Mungu – Date My Family Tanzania
Bachela wa wiki ni bwana Said Wale na ni mfanyakazi wa kituo cha television. Anapenda kusiliza music na kuogelea na anatafuta mwanamke mcha Mungu. Alishawahi kuoa na alikaa kwenye ndoa kwa miaka saba. Atachagua kati ya Jackline, Sofia na Irene. Je atachagua nani?
Video
George anataka kurudi Marekani – Jua Kali
Mke wake George aamua kumuacha na George anataka kurudi Marekani. Mary anataka kujua ni nani anampigia simu Michael usiku. Sophie apigwa mtaani na pia Maria anaendelea mapenzi na hosi wake, wakati Kenzo aja ofisini kwa Vivian kumpiga.