Rebeca
160
Drama
6
Main
Video
Habari
Mike anaijutia ndoa- Rebeca
Video
06 Mei
Lulu karudi kwa chumba kama amelewa, Mike tayari anaijutia ndoa, Naye Daniel bado anawazia na kusikia machungu sababu ya Rebeca, Cryston asema apewe mda amalize upelelezi
Jisajili kuangalia
Up Next
Mike wanafunga ndoa na Lulu- Rebeca
01 Mei
Doris anawazia mengi- Huba
29 Aprili
Malumbano chungu nzima! – Kapuni
07 Machi
Captain Onesmus anamtembelia Kibibi – Huba
01 Februari
Recho arudi kwa mamake – Kapuni
25 Januari
Brown anamkashifu Recho vilivyo – Kapuni
18 Januari
Maudhui Yanayohusiana
Video
“Naomi nakupenda!” – Nuru
Ronald aomboleza ndoa yake baada ya kukataa kutoa talaka. Baba Naomi amleta Juliana nyumbani na Adrian amwambia Naomi kwamba anampenda.
Video
Anna afanya maamuzi– Jua Kali
Anna amuomba Diba msamaha kwa maamuzi alifanya ya kutofunga ndoa nae.
Video
Harry na Tiara wakotayari kufunga ndoa – Wimbi
Mama Harry ataka kujua lini ilikuwa mara ya mwisho kwa Harry kuongea na Suzy na Adam cujus kwanini hamleti Tiara nyumbani.
Video
Harusi ya Nelly na Abby – Huba
Nelly afunga ndoa lakini mabaya yatokea baada ya mtu kuuliwa ndani ya sehemu ya sherehe.