Logo
Mwali S4

Mwali S4

muhula

4

1

Onyesho la kwanza la Mwali

Je uko tayari kuangalia Mwali? Tuambie hapo chini

Ndiyo97%
Hapana3%
Mwali S4

KUHUSU KIPINDI

Tamthilia ya Mwali inafuatilia mahusiano kati ya Nozo na Mwalimindu (Mwali). Nozo ni mtoto wa kwanza wa Chifu Kimbamanduka wa Bagamoyo na Mwali ni binti wa Chifu Kandamsile wa kijiji Jirani. Ingawa ni majirani, Mwali na Nozo wajikuta kuwa maadui juu ya baba zao.

Yajayo

S4 | E7
02 Aprili 23:00
'S4/E7'. Uchu wa madaraka, usaliti, visasi na mapenzi vinavunja ngome kuu mbili za Chifu Pingu na Chifu Kandamsile, ukar...

Pata kujua waigizaji wa Mwali