Zawadi asema ukweli – MwaliSemindu amwambia Cheka kwamba yeye ndiye mmliki wa wa mali za baba yake. Nozo ataka kujua kwanini boma lilivunjika na kwa nini babu fake aliado utawala. Chifu Kandamsile amfariji mtoto wake, na Zawadi aongea kuhusu yaliyo mtokea.