Main
Madam Veronica ajipendekeza kwa Dr Desire – Karma
Video
03 Septemba
Madam Veronica anataka kujua mshahara wa Dr Desire na kumuuongezea, lakini Dr Desire hataki. Santa na Lorenzo wagombania picha zilizokuwa kwenye simu ya Santa.
Jisajili kuangalia
Up Next
Nancy yuko wapi? – Karma
30 Agosti
Ni piza au pizzzaaa? – Nyavu
29 Agosti
Habari kuhusu kifo cha Ruki – Huba
28 Agosti
Utamtajaje mtu aliesha ondoka duniani? – Karma
23 Agosti
Je Chausi kabeba mimba? – Huba
22 Agosti
Mary ni mjamzito! – Slay Queen
21 Agosti
Maudhui Yanayohusiana
Video
Anita amuomba msamaha Thomas – Jua Kali
Anita aomba msamaha kwa Thomas na Maria. Femi ajikuta kwa Dr Evans baada ya mahusiano yake na Lukas kuisha na Naira karudi.
Video
Wake wenza– Jua Kali
Tuma arid kwa bibi yake, Madam Simba aweka masharti nyumbani kwa wafanyakazi. Sophia aandelea kuvumilia uke wenza. Diba amsubiri Anna iliapate majibu na Luka aweka mipaka nyumbani.
Video
Eva aomba msamaha kwa Bill – Jua Kali
Sophia adaiwa pesa wakati kuhusu Eva aendelea kumuomba Bill msamaha.
Video
“Kama kudanga umedanga kwa wengi” – Dhohar
Dhohar amuonya mama Zahra juu ya mwanae.