Logo
channel logo dark

Kapuni

160DramaPG13
Koku Kapuni

Koku

Koku ni binti mwenye elimu ila, ni mkorofi,mmbea na mchonganishi. Ni mtu mwenye tamaa na wivu, pia, ni muhuni lakini anatamani kuolewa.
Koku ni binti mwenye mahusiano na watu wengi[Malaya wa kimya kimya] akitamani maisha mazuri. Changamoto yake ni ugonjwa unamtafuna kimya kimya.