Jua Kali
160
Tamthilia
16
Main
Stella amtia Maria Hospitali – Jua Kali
Video
02 Julai
Maria atiwa hospital baada ya kupigwa na Stella na Stella amwambia Thomas amtokea Maria maishani mwao. Michael aamka na makelele toka kwa Mary na waishia kupigana.
Stream on Showmax
Up Next
Jemo ajitambulisha – Pazia
30 Juni
Naira achoka kunyanyaswa – Jua Kali
25 Juni
‘Unanipenda au unaniroga?’ – Huba
25 Juni
Monde ajaribu kumshawishi Nguzu – Mpali
24 Juni
Punguza mdomo ongeza mahaba – Jua Kali
18 Juni
Doris apewa kazi – Huba
18 Juni
Maudhui Yanayohusiana
Video
“Wewe ni baba wa King” – Jua Kali
Michael agundua kwamba mtoto ni wa kwake na Thomas amwambia Maria avunje mahusiano yake na Frank.
Video
Mimi Mars na Irene Paul wajibu maswali 10 kuhusu Afrika
Tukiwa tunasherekea mwezi wa Afrika, wadada wa Jua Kali Marianne Mdee (Maria) na Irene Paul (Stella) wajibu maswali ya kipimajoto kuhusu bara la Afrika.
Video
Dili au sio dili? – Jua Kali
Anna ataka familia yote ije kutambulishwa, Maria agundua kwamba anaujauzito na Thomas amfuata Maria ofisini
Video
Msaliti mkubwa!– Jua Kali
Glory aja kwa Za kumuita msaliti, wakati Frank amfuma Thomas na Maria. Prof Bill amuomba Anna ajenge mahusiano na Bwana Kaka.