Jua Kali
160
Tamthilia
16
Main
Mr Thomas aomba msamaha – Jua Kali
Video
21 Mei
Suzanne ahamia mjini na mwanae, Cheusi. Mary ampiga picha Dominic akiwa analala chini ili kuonyesha kwanini hawapati mtoto. Sophia na kaka yake wafanya mpango kwa mama yao. Wakati Felix aenda kwa baba yake, na Thomas amfukuza.
Stream on Showmax
Up Next
Tesa amerudi – Huba
21 Mei
Regina arudi nyumbani – Pazia
12 Mei
Sada amfukuza Nandi – Huba
07 Mei
Jemo atiwa jela – Pazia
05 Mei
Jiwe liko wapi? – Kitimtim
04 Mei
Unaweza kunioa tena? – Huba
30 Aprili
Maudhui Yanayohusiana
Video
Ndoa ya Anna na Diba - Jua Kali
Thomas aja kwa Maria kumuuliza anachotaka baada ya kugundua ukweli. Diba na Anna wafunga ndoa
Video
Anita amuomba msamaha Thomas – Jua Kali
Anita aomba msamaha kwa Thomas na Maria. Femi ajikuta kwa Dr Evans baada ya mahusiano yake na Lukas kuisha na Naira karudi.
Video
Moto umewaka ofisini! - Jua Kali
Sophia amwambia mama yake kuhusu Semeni na Peter, na Regina amuonya Thomas.
Video
Karibu Regina! - Jua Kali
Regina, Davis na Enzo wajiunga na kampuni ya Profesa Bill. Frank arudi kwa Maria wakati Thomas aliwepo.