Jua Kali
160
Tamthilia
16
Main
Maria na Frank waingia ndani ya mahusiano l– Jua Kali
Video
10 Septemba
Vivian adai kumjali Michael na mahusiano yao yazidi kukuwa. Frank amwabia Maria kama anampenda wakati Mary abaki kuchanganikiwa.
Stream on Showmax
Up Next
Tesa amtembelea Kibibi– Huba
03 Septemba
Bwana Mdoe arudi – Pazia
01 Septemba
Leila aomba msamaha – Sinia
29 Agosti
Nandy ampiga Doris – Huba
27 Agosti
Sina pesa! – Mpali
26 Agosti
Kashaulo akatwa vidole – Huba
20 Agosti
Maudhui Yanayohusiana
Video
“Wewe ni baba wa King” – Jua Kali
Michael agundua kwamba mtoto ni wa kwake na Thomas amwambia Maria avunje mahusiano yake na Frank.
Video
Msaliti mkubwa!– Jua Kali
Glory aja kwa Za kumuita msaliti, wakati Frank amfuma Thomas na Maria. Prof Bill amuomba Anna ajenge mahusiano na Bwana Kaka.
Video
Jua Kali yapokea tuzo tatu ndani ya Magic Vibe Award - Maisha Magic Bongo
Tamthilia ya Jua Kali ya zoa tuzo tatu; Best East African TV Series, Best East African TV Actor (Isarito Mwakalindile) na Film Director of the Year (Leah Mwendamseke Lamata).
Video
Anita amuomba msamaha Thomas – Jua Kali
Anita aomba msamaha kwa Thomas na Maria. Femi ajikuta kwa Dr Evans baada ya mahusiano yake na Lukas kuisha na Naira karudi.