Jua Kali
160
Tamthilia
16
Main
Maisha ya Tuma yako hatarini – Jua Kali
Video
11 Juni
Stella amwambia Thomas kwamba hamuamini na Thomas ajibu kwamba bado anampenda mke wake. Mama yake Sophia bado anaumwa na kaka yake ahadi kumpigania. Felix aenda kumtafuta Maria wakati mama Eva alazimisha wamgonge Tuma.
Stream on Showmax
Up Next
Happy na Chidi wafunga ndoa – Huba
04 Juni
Tunu apewa talaka tena – Pazia
02 Juni
Monde amekasirika – Mpali
31 Mei
Sophia apigwa – Jua Kali
28 Mei
Mr Thomas aomba msamaha – Jua Kali
21 Mei
Tesa amerudi – Huba
21 Mei
Maudhui Yanayohusiana
Video
Unanitaka kwenye maisha yako?' – Jua Kali
Bill na Eva wanabishana wakati anamsihi amwambie ukweli kama anamtaka katika maisha yake.
Video
Ndoa ya Anna na Diba - Jua Kali
Thomas aja kwa Maria kumuuliza anachotaka baada ya kugundua ukweli. Diba na Anna wafunga ndoa
Video
Eva na Bill wapata majibu ya vipimo- Jua Kali
Tony amuomba Maria arudi nae Kenya na Bill na Eva wapata majibu ya vipimo
Video
Davis amtaka Maria- Jua Kali
Davis aanza ukaribu na Maria mbele ya wafanyakazi wenzaka na Frank aishia kumtambulisha Maria rasmi.