Logo
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Happy birthday, Maria! – Jua Kali

Video
12 Novemba

Frank azidi kumpiga Naira na kuendelea mahusiano nae, wakati ampa Maria zawadi ya siku ya kuzaliwa. Thomas aenda kumtembelea Stella na Stella amfukuza. Hatimaye Stella akutana na mama yake Maria.