Profesa Bili anatumia NGO kuficha uovu wake, akimtumia Thomas, kijana wa dini na mpendwa wa jamii. Ukweli ukifichuka, Thomas analipiza kisasi kupitia familia ya Profesa. Mapenzi, pesa na uchoyo vyazua moto mkubwa chini ya jua kali!
S8 | E205
26 Machi 21:30
'S8/E205 of 259'. Sekeseke linaendelea nyumbani kwa Professa hapakaliki, Mipango ya Frank na Thomas inabamba moto, mahus...