Logo
Jiya
channel logo dark

Jiya

160DramaPG13

Matukio makubwa ndani ya Jiya – Maisha Magic Bongo

Habari
12 Aprili 2024
Kipindi cha #MMBJiya kimeanza na moto mkali ndani ya Dstv chaneli 160!
Article

Kipindi kipya cha Jiya, kinafuatilia maisha ya familia iliyoundwa na tamaduni tofauti tatu, ambapo tofauti zao ndizo zinazowafanya kila mmoja kuwa wa kipekee. Mapenzi yanaposhinda hata mipaka ya tamaduni, rangi, na imani, huo ndio wakati inathibitisha tena kwamba upendo unashinda yote.

  1. Utambulisho wa Jiya

Jiya, mwanamke Mhindu anayetaka kuolewa kwa lazima, anaamini kuwa amependa kijana mweusi Don G, lakini hatima ina mipango mingine wakati anapokutana na kijana Masaai Senteu na mambo yanageuka kabisa.

  1. Jiya kuachana na Don G

Baada ya familia yake kumkatalia kumuoa mtu mweusi, Jiya aamua kuacha na Dog G siku moja kabla ya ndoa yake.

  1. Senteu achaguliwa mke

Wakati huku kwinye kijijini cha wamasaai, waongozaji wa Kijiji walimchagulia Senteu mke wa kumuoa, Neema.

  1. Harusi ya Jiya na Sanjeet

Baada ya familia ya Jiya kumlazisha kuolewa na Sanjeet na siku ya harusi aliamua kuachana na Sanjeet kisa kwamba hampendi.

  1. Kijiji cha mtenga Senteu

Baada ya kugundua kwamba Senteu alitoroka na kumuacha Neema wanakijiji walikasirika na kuamua kwamba Senteu hatoruhusiwa tena kurudi kijijini.

Jiya & Senteu

Je Jiya na Senteu waanza mapenzi?

Ndiyo80%
Hapana20%

Usikose kufuatilia kipindi cha #MMBJiya kila Jumatatu hadi Jumatano saa 1:30 usiku ndani ya #MaishaMagicBongo.

Mengine zaidi: