Logo
Jiya
channel logo dark

Jiya

160DramaPG13

Kutana na waigizaji wa Jiya - Jiya

Habari
26 Machi 2024
Kipindi kipya cha #MMBJiya kitaanza tarehe 1 Aprili!
Article

Mapenzi yanapokuwa ya kweli na ya dhati nguvu ya matabaka ya rangi, mila na hata desturi zetu hukosa nguvu. Kutana na waigizaji wote ndani ya tamthilia hii:

Jiya (Ruksa Veda)

Malika (Shamsa Ford)

Patel ("Akili The Brain")

Senteu

Tausi (Aunty Ezekiel)

Usikose mwanzo wa #MMBJiya tarehe 1 Aprili na kila Jumatatu hadi Jumatano saa 1:30 usiku ndani ya DStv chaneli 160!