Logo
Jiya
channel logo dark

Jiya

160DramaPG13

Hata mama nae ana siri zake! – Maisha Magic Bongo

Habari
09 Mei 2024
Kila mtu ana siri na mama hayupo tofauti kabisa!
Article

Mwezi huu kunasherekea mama zetu ndani ya Maisha Magic Bongo na tunapenda kuwateua mama zote na kuwasherekea. Lakini pia tunapenda kuwakumbusha kwamba wakina pia ni watu na wana maisha yao yakibinafsi.

Ndani ya tamthilia ya #MMBJiya, mama yake Jiya, Arwa ana siri kubwa. Ingawa ameolewa na Patel moyo wake kweli uko kwa Dr. Zaramo. Lakini kwa jinsi ndoa yake inavyoenda, hamna upendo tena na amejikuta akizidi kumuwaza Dr. Zaramo.

Arwa akiwa na Dr Zaramo

Wakati huku ndani ya tamthilia ya #MMBHuba Sidi amekuwa kama mama kwa Tima kwa muda mrefu baada ya Tima kupoteza mama yake na Sidi kuolewa na Kashaulo.  Baada ya kuolewa na JB, Tima alimkaribisha Sidi nyumbani lakini huku nyuma Sidi alianza mahusiano ya kisiri na mume wa Tima.

JB akiwa anambusu Sidi

Kumbuka kujunganisha na #MyDStv App kufuatilia tamthilia zote uzipendazo ndani ya #MaishaMagicBongo. Usikose vipindi va #MMBJiya kila Jumatatu hadi Jumatano saa 1:30 na #MMBHuba kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 3 usiku.

Siri za Mama!

Kati ya Arwa na Sidi ni nani ana siri kubwa zaidi?

Click here to make your selection
Jiya
Arwa
Huba
Sidi