Logo
MMB HubaSM V1 TwitterCover Generic HR
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Ugomvi na hasira - Huba

Video
29 Julai

Wiki hii kwenye #HUBATZ, hakika mambo yalipamba moto, kuanzia kwa kibibi Tesa mipango yake bado inaendelea, Sidi na Kashulo washahamia kwenye hekalu lao, Kibibi karudi na kisirani cha aina yake, Bi Mgeni kila kukicha ugomvi na Carlos na safari hii Tima nae yumo, Chidi anajinyemeleza kwa na Roy na Nandi amani hakuna, ni nini kitaendela wiki ijayo? …..